Friday

 Urusi imewafukuza wanadiplomasia 60 wa Marekani, na kufunga ubalozi uliopo St Petersburg ikiwa ni majibu kwa kitendo cha Marekani kuwafukuza wanadiplomasia wa Urusi juu ya shutuma ya Uingereza kuhusu kuhusika kwa Urusi katika shambulio la jasusi wa zamani wa Urusi Sergei Kripal na binti yake huko Uingereza.

Saturday


Waziri mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu

Waziri Mkuu wa Uturuki, Ahmed Davutuglo, anasema kuwa zaidi ya watu 15,000 wamekusanyika kwenye mpaka wake, wakitoroka mashambulizi makali yanayoongozwa na Urusi, Kaskazini Mashariki mwa Syria.
Waziri huyo Mkuu anaamini kuwa makumi ya maelfu ya wakimbizi wengine wako njiani kuelekea kwenye mpaka huo.
Mkali wa mashairi anayeiwakilisha Farid Kubanda ambaye anafahamika kwa jila na Fid Q kaja na video mpya ya Walk It Off kamshirikisha Taz, mkali wa mashairi kaja na video ambayo unaweza kuita moja kati ya video bora za wasanii wa Tanzania kwa mwaka 2016
Rais wa Chad Idris Deby ndio mwenyekiti wa AU

Muungano wa Afrika, AU, umetoa wito kwa viongozi wa mataifa matano kuishawishi Burundi kukubali kikosi maalum cha kudumisha amani kufuatia miezi kadhaa ya ghasia za kisiasa nchini humo.
Kamati hiyo maalumu ya AU, inamshirikisha Waziri Mkuu wa Ethiopia, pamoja na Marais wa Afrika Kusini, Mauritania, Gabon na Senegal.
Tetemeko kubwa la ardhi limekumba Taiwan Kusini, na kuangusha jengo moja la ghorofa 17 ambapo hadi kufikia sasa watu watatu wamethibitishwa kufariki.
Tetemeko hilo la kipimo cha Ritcher 6.4 lilitokea karibu na mji wa Tainan.
Zaidi ya watu 200 wameokolewa kutoka kwa jengo hilo, ingawa waokoaji wangali wanajaribu kuwafikia
Cyrill Kamikaze ni staa wa Bongo Fleva, ni moja ya majina ya mastaa wachache ambao hata kama hawajatoa ngoma mpya au midundo yao haisikiki On Air, bado jina lake kwenye huu muziki lipo na linatambulika mara zote !! Kama utakuwa unakumbuka vizuri Cyrill ni memba wa Wakacha akiwa pamoja na Jux, Ila time hii Cyrill Kamikaze kaja na video mpya inaitwa “Shori”

Sunday


Waziri wa uchukuzi nchini Iran anasema kuwa nchi hiyo itatia sahihi kandarasi ya kununia ndege 114 aina ya Airbus.
Abbas Akhundi alinukuliwa na vyombo vya habari nchini Iran akisema kuwa kandarasi hiyo itatiwa sahihi wakati rais Hassan Rouhani atafanya ziara nchini Ufaransa siku ya Jumatano.

Thursday

Dk. John Magufuli leo anatarajiwa  kuwasili  mkoani  Arusha ambapo keshokutwa atakuwa  mgeni  rasmi  katika sherehe  za  kutunuku kamisheni kwa  maofisa  wanafunzi wa Chuo  cha Mafunzo  ya  Kijeshi  cha (TMA), Monduli.

Mkuu  wa  Mkoa wa  Arusha, Felix Ntibenda, alisema  Dk. Magufuli   atawasili kupitia  Uwanja  wa  Ndege  wa  Kimataifa  wa  Kilimanjaro  na amewaomba  wananchi  kujitokeza  kumpokea.

Audio tayari imetambulishwa rasmi leo on air kupitia XXL ya CLOUDS FM, AY Feat. Diamond Platnumz Zigo’ remix  Isikilize hapa chini
tzama video hapa chini uone jinsi ilivyokua na jinsi Shilole alivyopagawa baada ya kumuona Nuhu mbae aliku mpenzi wake na kutaka kukimbia studio za CLOUDS TV kwenye kipindi cha D'WEEKEND.

Wednesday




The 2016 Las Vegas Consumer Electronics Show kicks off in mere hours, but its annual pregame party, CES Unveiled, just wrapped up. With some of the most exciting tech companies set to hit the convention’s show floor typically invited to set up booths at Unveiled, this early-week exhibit is often perfect for getting a sense of what kind of gadgety goodness can be expected at the CES main event.
Volvo thinks you’re going to be watching a lot of video when your car is driving itself, and it’s working with Ericsson to create smarter streaming technologies to reliably get you Modern Family on your commute.
One of the key parts of Concept 26, Volvo’s vision for what you’ll be up to while the car handles the tedious driving bits, is an enormous video screen that flips up from the passenger side dashboard. The Swedish carmaker thinks many drivers will want to sit back, relax, and enjoy some Netflix during their commute.
There’s no easier password manager on a Mac than Apple’s Keychain: It’s been built into OS X and its Safari browser for years; it’s enabled by default; and, since (also by default) it stores your passwords only on your Mac, there are no worries about having them In The Cloud.
But your Keychain can get cluttered by this software’s occasional stubborn unwillingness to wipe
old passwords.



Just in time for your annual New Year’s resolution to get in better shape, Under Armour and HTC have debuted a new all-in-one, connected fitness-tracking system.
Called the UA HealthBox and designed with HTC, the $400 system comes with a fitness tracker, a connected scale, and a heart-rate monitor, which all feed information into a smartphone app to give you a better understanding of your overall health.
It’s also really good at making you feel bad about how out of shape you are — though that might just be my own experience.



Where are you most likely to see a ghost? In a graveyard, of course.
But not many graveyards have ghosts riding horses.
Yet try telling that to amateur photographer Richard Durham, who captured a spectre on horseback in a snap he took at Weedon Bec cemetery in Daventry, Northamptonshire on New Year’s Day.
The 45-year-old gardener from nearby Boothville was testing out his new camera at about 9am when he took the picture of what appears to be a ghostly figure on top of a ghostly steed among some headstones
Mchekeshaji maarufu Rowan Atkinson, raia wa Uingereza ambaye ni staa wa movie na comedy pia duniani !!
Unajua kitu kizuri kwa Mr. Bean anafanya comedy ambayo hata kama huelewi lugha yake, vitendo vyake tuu lazima akuache hoi kwa kicheko.
Leo Rowan Atkinson a.k.a Mr. Bean anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 61… jamaa ni msomi pia mwenye Master’s Degree ya Electric Engireering, enjoy na vioja vyake
 Mvutano kati ya Future na Ciara juu ya malezi ya mwanao, ‘Baby Future’ umezidi kuwa mkubwa, baada ya Future kumshambulia vikali Ciara, kambi ya Ciara haijakaa kimya wao pia wameongea na kueleza upande wao wa stori.Kwa mujibu wa mtandao wa E!News wa Marekani, kambi ya Ciara imepinga tuhuma za Future kupitia page yake ya Twitter siku ya Jumatatu January 4 2016, kuwa Future inabidi apitie mlolongo wa Wanasheria ili tu kupewa ruhusa ya kumuona mwanae

Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri kuwa hatoendelea na kuifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani.
Pep Guardiola amekiri kuamua kuondoka ndani ya klabu ya FC Bayern
Baada ya kusiogeza kwetu mixtape yake mpya ‘To Whom It May Concern’ December 2015, staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz anaisogeza kwetu official music video ya ‘Blessed’ moja ya ngoma zinazopatikana kwenye mixtape  hiyo ya December 2015.
Kwa sasa Trey Songz yupo studio akiwa anakamilisha muendelezo wa album yake ya mwaka 2014; Trigga. Kama haijakufikia . Itizame hapa chini
Serikali ya Gambia imepiga marufuku wafanyakazi wa kike kufika kazini wakiwa hawajajifunika nywele.
Mwezi uliopita, Rais wa Gambia Yahya Jammeh alitangaza nchi hiyo yenye Waislamu wengi kuwa jamhuri ya Kiislamu.

About

BTemplates.com

Categories

Blogroll

Popular Posts